KGB liliwakilisha washirika wa urusi yan umoja wa kisoviet na CIA nchi ya marekani pamoja na wafuasi wake waliounda NATO.
Vita ya vietnam ni ngumu kuelezea jinsi yaliyotoke lakini kwa ufupi ni mataifa mawili makubwa kupigana ndani ya vietnam huku wakitoa misaada kwa wafuasi wao
North vietnam (vietnam ya kaskazini ) ilipokea misaada ya kijeshi na vitu vingine toka urusi kama bunduki za AK-47 ambazo ndizo zenye matumizi makubwa duniani, makombola ya BUK-21 na mafunzo kwa wanajeshi wao kiongozi wao alikua ni MINH HO ambaye ndiye muanzilishi wa vita hii ya vietnam akishirikiana na mataifa baadhi ya kijamaa
South Vietnam hawa walipata misaada ya pesa kutoka kwa marekani na wafuasi wengne wa kibepari kiongozi wake mkuu aliitwa NGO DIEM ambaye aliuuwa 1963
kwa zaidi fatilia ndani ya documentary hiyo ushuhudie vita ilivyokua ila mwisho ya yote
VIETNAM iliungna baada ya marekani kuondoka nchini humo 1975 hakuna anachokipata zaidi ya hasara kwa upande mwingne alishndwa vita