maendeleo media: SPORTS
BREAKING NEWS
Loading...
Showing posts with label SPORTS. Show all posts
Showing posts with label SPORTS. Show all posts

Saturday, 12 August 2017

Rais Karia wa TFF Aapishwa leo dodoma



Kufuatia Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uliofanyika leo katika Ukumbi wa St Gasper Mjini Dodoma na kumalizika jioni ya leo, Mwenyekiti wa Kamati ya TFF, wakili Revocatus Kuuli ametangaza matokeo ya Uchaguzi huo Wallace Karia ameshinda nafasi hiyo kwa jumla ya kura 95 kati ya kura halali 125 zilizopigwa huku kura tatu zikiharibika na Michael Wambura akichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo..

Wagombea wengine wa Urais pamoja na kura walizopata ni Ally Mayay Tembele (9), Shija Richard (9), Iman Madega (8), Frederick Mwakalebela (3) na Emmanuel Kimbe (1).

Mohamed Abeid (Dodoma na Singida), Mbasha Matutu (Shinyanga na Simiyu), Sarah Chao (Arusha na Manyara), Dustan Ditopile (Lindi na Mtwara), Elias Mwanjala (Mbeya na Iringa), Francis (Pwani na Morogoro), Vedastus Lufano (Mara na Mwanza), Lameck Nyangaya (Dar es salaam), Kenneth Pesambili (Rukwa na Katavi), Khalid Mohamed (Kilimanjaro na Tanga), Issa Mrisho (Kigoma na Tabora) na James Patrick (Njombe).

Rais wa Shirikisho hilo, Wallace Karia, Makamu wa Rais, Michael Richard Wambura pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji waliochaguliwa wameapishwa leo mjini Dodoma muda mfupi baada ya matokeo ya ushindi wao katika uchaguzi huo kutangazwa.

Akitoa hotuba yake muda mfupi baada ya kuapishwa kwake, Rais wa Shirikisho hilo (Wallace Karia) amesema kuwa amepigiwa simu na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmad Ahmad na wote wamelipongeza Shirikisho hilo kwa uamuzi ulioufanya na kuutakia uongozi mpya mafanikio mema.

Aidha Karia amesema TFF itawapa waandishi wa habari elimu ili kujua mambo gani ya kuzingatia kuweza kuinua soka la Tanzania, huku akitangaza kuanzia leo, soka la Tanzania halitakuwa na ubabaishaji.

Kwa upande wake, Waziri mwenye dhamana ya Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ameiagiza TFF kuweka utaratibu wa kuchapisha taarifa ya mapato na matumizi kwenye magazeti ili wananchi
 wajue.

Friday, 11 August 2017

Liverpool say that Brazil midfielder Philippe Coutinho is "definitively" not for sale.

Philippe Coutinho started 31 Premier League games and scored 13 goals for Liverpool last season



On Wednesday, the Reds rejected a bid of 100 million euros (£90m) from Barcelona for the 25-year-old.

Barca's second bid, which was rejected immediately, comprised an initial £76.8m plus £13.5m in add-ons.

In a statement on Friday, the club's owners Fenway Sports Group club said its "definitive stance" was that "no offers will be considered".

It added: "Philippe will remain a member of Liverpool Football Club when the summer window closes."

Speaking at a news conference previewing Saturday's Premier League match at Watford, manager Jurgen Klopp said Coutinho would miss the season opener with a back problem.

Klopp said he was also a doubt for Tuesday's Champions League play-off first leg at Hoffenheim as he had "not been in training since last Friday".

Coutinho, who scored 14 goals in all competitions last season, signed a new five-year deal in January that did not include a release clause. He joined Liverpool from Inter Milan for £8.5m in 2013.

Klopp said the Reds were not "a selling club" when Barca's previous £72m offer was rejected in July.

Barcelona have also had a bid rejected for Borussia Dortmund's 20-year-old forward Ousmane Dembele since they sold Brazil forward Neymar to Paris St-Germain for a world record £200m last week.

The German club confirmed they met Barca representatives but the offer did not meet their valuation of the France international.

Thursday, 27 July 2017

Simba SC yakanusha kufungwa 7 - 0

Image result for Simba SC yakanusha kufungwa 7 - 0

Uongozi wa Klabu ya Simba wenye makao makuu yake Msimbazi Jijini Dar es Salaam umekanusha vikali taarifa iliyotembea katika mitandao ya kijamii inayodai timu hiyo imechapwa bao 7-0 katika mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Royal Eagles ya nchini Afrika Kusini walipoweka kambi yao.

Hayo yameweka bayana na taarifa iliyotolewa na msemaji wa timu hiyo Haji Manara na kusema kama kweli wamechezea kichapo hicho kutoka kwa timu ya daraja la kwanza hakuna mtanzania asingeweza kuona matokeo hayo katika vyombo vya habari kutokana na sasa utandawazi umetawala.

"Kiukweli Simba haina rekodi za hovyo kama hizo kokote inapocheza duniani na haijawahi kufungwa na klabu yoyote idadi ya magoli kama hayo, kama zilivyo timu nyingine nchini hususan Klabu ambayo mashabiki wake ndiyo wanaozusha upuuzi huo", amesema Manara.

Kwa upande mwingine, Manara amewataka watanzania na mashabiki wa wekundu wa msimbazi watambue kuwa siku zote walizokuwa huko nchini Afrika Kusini, benchi lake la ufundi limejikita katika kutengeneza miili ya wachezaji kistamina ili iweze kufanya vizuri katika michezo yake ambayo ipo usoni kuanza.

Thursday, 20 July 2017

Kenya All Stars yalazwa na Cordoba FC mabao 4-0


Image result for Kenya All Stars
Timu ya soka ya Kenya All Stars inayowajumuisha wachezaji kutoka vlabu mbalimbali walifungwa na klabu ya Uhispania ya Cordoba mabao 4-0 katika mchuano wa Kimataifa wa kirafiki uliochezwa siku ya Jumatano usiku.


Mabao ya klabu ya Cordoba FC inayocheza ligi ya daraja la pili ilipata mabao yake kupitia Nathan Mejia, Jose Fernandez, Alberto Quiles na Alejandro Alfaro.

Mchuano huo ulichezwa katika uwanja wa Nuevo Arcangel mjini Cordoda.

Kocha wa Kenya All Stars Stanley Okumbi alifanya mabadiliko kadhaa katika kikosi chake lakini juhudi zake za kutafuta mabao hazikufua dafu.

Mchuano huo uliandaliwa na viongozi wa ligi kuu nchini Kenya na La Liga nchini Uhispania.

Klabu ya Cordoba inajiandaa kwa msimu mpya wa ligi mwezi Agosti huku Kenya ikitumia kikosi chake kitawakilisha nchi hiyo wakati wa mashindano ya CHAN mwaka ujao.

Baada ya mechi hii, Kenya inatarajiwa kucheza mchuano mwingine wa kirafiki dhidi ya Sevilla Atlético siku ya Jumanne wiki ijayo.

Kikosi cha Kenya All Stars-

Makipa: Bonface Oluoch (Gor Mahia), Matthias Kigonya (Sofapaka).

Mabeki: Musa Mohammed (Gor Mahia), Robinson Kamura (AFC Leopards), Maurice Ojwang’ (Western Stima), Wesley Onguso (Sofapaka), Benson Iregi (Thika United) na Simon Mbugua (Posta Rangers).

Viungo wa Kati: Boniface Muchiri (Tusker), Clinton Kisiavuki (Nakumatt), Jackson Macharia (Tusker), Vincent Oburu (AFC Leopards) Victor Majid (AFC Leopards), Ovella Ochieng’ (Kariobangi Sharks) na Patillah Omoto (Kariobangi Sharks).

Washambuliaji: Samuel Onyango (Ulinzi Stars) na Victor Omondi (Nzoia Sugar).

Kwa maoni yako unazani timu yetu ya taifa stars iombe mechi na klabu gani 

1.Chelsea.
2.Real madrid. 
au wacheze na Aston Villa & Bunley.

Toa maoni hapo chini.

Tuesday, 18 July 2017

Tazama video Muro akiongea baada ya kufukuzwa yanga


Image result for jerry muro atimuliwa na yanga leo



Siku 4 baada ya UONGOZI wa klabu Yanga kumtambulisha Dismas Ten kuwa mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano akichukua nafasi iliyoachwa na Jerry Muro aliyekuwa amefungiwa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) mwaka jana.

Kwa mara ya kwanza Jerry Muro amefunguka kuhusu suala hilo.

tazama kupitia link hapo chini.



Monday, 19 June 2017

cristian ronaldo kurudi MAN U



Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemwambia wakala wake Jorge Mendes kufanikisha uhamisho wake kurejea Manchester United (Sun).

Manchester United watawapa Real Madrid David de Gea, 26, pamoja na pauni milioni 183, ili kumsajili Cristiano Ronaldo, 32 pamoja na Alvaro Morata, 24 (Tuttosport).

Manchester United itawapa Real Madrid David de Gea pamoja na pauni milioni 175 kumchukua Ronaldo, na pia watamfuatilia Alvaro Morata katika mkataba mwingine tofauti (Daily Mirror).

Iwapo De Gea atakwenda Real Madrid, Manchester United watamfuatilia kipa wa AC Milan Gianluigi Donnarumma, 18 (Calciomercato)

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho hamtaki Ronaldo kwa sababu anahisi kiwango chake kimeanza kushuka (Diario Gol).

Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane amempigia simu Ronaldo kujaribu kumshawishi asiondoke Madrid (Marca).

AC Milan huenda wakaamua kumfuatilia kipa wa Manchester City Joe Hart, 30, iwapo kipa wao Donnarumma ataondoka (Daily Express).

Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney amekuwa akivutia timu mbalimbali nchini Spain, Italia, Uturuki na Marekani pamoja na China, lakini Rooney pia huenda akaamua kubakia Old Trafford (Times).Chelsea wataongeza juhudi zao za kutaka kumsajili beki wa kushoto wa Juventus Alex Sandro, 26, pamoja na kiungo Tiemoue Bakayoko, 22 (Guardian).

Kiungo wa Italy Marco Verratti, 24, anataka kuondoka Paris Saint Germain kwenda Barcelona (Gazzetta dello Sport).

Liverpool bado wapo kwenye mazungumzo na Roma kuhusu uhamisho wa winga Mohamed Salah, 25, lakini hawataki kulipa pauni milioni 35 wanazotaka klabu hiyo ya Seria A (Sky Sports).

Everton watafikisha pauni milioni 60 za usajili wiki hii watakapokamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Malaga, Sandro Ramirez, 21 (Daily Star).

Southampton wanataka kumsajili beki wa kimataifa wa Austria, Kevin Wimmer, 24, lakini wanataka Tottenham kupunguza bei ya pauni milioni 20 (Daily Mirror).

Leicester City wanafikiria kutoa dau la pili kumtaka beki Jonny Evans, 29 kutoka West Brom (Daily Telegraph).

Chelsea wanataka kuongeza dau kufikia pauni milioni 60 kumsajili beki wa Juventus Alex Sandro (Daily Express).

Manchester United wamempa 'ofa'ya mkataba mkubwa zaidi Blaise Matuidi, kuliko aliokuwa nao sasa PSG (PSG United).




Liverpool wapo tayari kutoa pauni milioni 44 kumsajili winga wa Sporting Lisbon Gelson Martins (A Bola).

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang huenda akaungana na meneja wake wa zamani Jurgen Klopp, Liverpool (Le Parisien).

Barcelona watatumia kifungu cha kumnunua tena Gerard Deulefeu kwa kutoa pauni milioni 10.5 kwa Everton (Times).





Marco Asensio huenda akaomba kuondoka Real Madrid iwapo timu hiyo itasajili wachezaji watakaomuweka 'benchi', huku Arsenal, Liverpool na Juventus wakiwa wamemuuliza kiungo huyo mshambuliaji (Diario Gol).

Monday, 15 May 2017

John Terry: Chelsea captain could retire after leaving champions in summer



The 36-year-old, who will leave the Blues in the summer, scored the opening goal on a night of celebration for the Premier League title winners.Chelsea host Sunderland on Sunday in their final league game of the season.

"I've not ruled out Sunday being my last game and retiring from football," he told Sky Sports.

"If the right offer comes along I will sit down and consider it with my family - whether that's here or abroad.

"Genuinely I haven't made any decisions yet and I'm evaluating all my options at the moment.

Former England captain Terry announced last month he will leave Stamford Bridge after more than two decades at the club.

The central defender is the Blues' most decorated player, with this season's title triumph earning him a fifth Premier League winners' medal.

He has also helped them win five FA Cups, three League Cups, the Champions League and the Europa League.

The Londoner has made 716 appearances since his debut in 1998 - 579 of them as captain.

Chelsea manager Antonio Conte, who restricted Terry to a bit-part role on the pitch this season, paid tribute to the player's influence.

"He is a great man. He helped me a lot in my first season. He had a fantastic role on and off the pitch," said the Italian.

"I think against Watford he showed he can continue to play. I'm pleased for him, he scored a great goal.

"I'm looking forward to seeing him lift the cup on Sunday. He deserves this."
'I couldn't have written this farewell'

Chelsea wrapped up their sixth English title with a win at West Brom on Friday, and the home fans were in a celebratory mood as they welcomed the champions back to Stamford Bridge.

Terry, in what may be his final playing appearance at the stadium, lifted the atmosphere even more when he opened the scoring after 22 minutes.

Watford threatened to dampen the occasion with a gutsy fightback before substitute Cesc Fabregas earned a thrilling win for a much-changed home side.

The Spaniard's scuffed strike sparked joyous scenes among the home fans, while a fireworks display outside the stadium followed the final whistle.

The Blues will be presented with the Premier League trophy when they host relegated Sunderland on Sunday.

"If I could have written my story, this is how it would panned out - to go having been crowned champions, and to leave the club in great hands with the manager, the owner and the players we have here," added Terry.

"It is going to be sad and emotional for me on Sunday because I've been here 22 years.

"But I'm delighted for the experiences and opportunities I have been given."

Sunday, 14 May 2017

SIMBA YAPATA UDHAMINI KWA KAMPUNI YA SPORTPESA

Klabu maarufu ya kandanda nchini Tanzania, Simba, imepata udhamini wa miaka mitano kutoka kwa kampuni ya SportPesa ambayo wiki hii imezindua rasmi uchezaji wa kamari kwa kubashiri matokeo ya kandanda nchini humo.
Udhamini huo wa donge nono ulitangazwa wakati wa mechi ya ligi ya Vodacom kati ya Simba aka Wekendu wa Msimbazi na Stand United ya Shinyanga katika uwanja wa kitaifa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika uwanja huo, mkurugenzi wa usimamizi wa SportPesa nchini Tanzania Abbas Tarimba amesema huo ndio mwanzo tu, na kwamba timu zingine zitafaidika kwani kampuni hiyo inataka kubadilisha kabisa sura ya michezo nchini Tanzania.


``Tutafanya mpango wa mechi za kirafiki kati ya Simba na timu kubwa za nga'mbo tukitumia ushirikiano wetu na vilabu vya England kama vile Hull City, Arsenal na Southampton lengo kubwa likiwa ni kuwapa wachezaji wa Simba nafasi ya kucheza kandanda Ulaya,'' amesema Tarimba.
Wakati wa hafla hiyo, wachezaji wa Simba walivaa jezi zilizokua na nembo ya SportPesa katika kipindi cha pili huku wakishangiliwa na mashabiki wao.
Miongoni mwa walioshudia hafla hiyo ni mkurugenzi mkuu wa SportPesa nchini Tanzania, Pavel Slavkov, Tarimba na Rais wa Simba Evans Elieza Aveva na mdogo wake Geoffrey Nyange Kaburu.

KLABU YA SIMBA YAJIHARIBIA KWA MO


Mfanyabiashara mkubwa nchini, Mohammed Dewji ambaye alikuwa na mpango wa kutaka kuinunua klabu ya Simba pia kuisaidia klabu hiyo katika mambo mbalimbali ameonyesha kusikitishwa na viongozi wa klabu hiyo kusaini mkataba bila kumshirikisha.


Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka mitano na kampuni SportPesa ya udhamini wenye thamani ya 4.9 Bilioni


"Inasikitisha kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umesaini mkataba wa udhamini wa muda mrefu bila kunishirikisha. Kwa muda mrefu nimeweka nguvu zangu kwenye klabu" alisema Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Twitter

Thursday, 11 May 2017

RAISI WA FIFA ASEMA WAKOSOAJI WAKE HAWATAKI MABADILIKO


Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amekosoa vikali watu wanaotoa taarifa za uongo kuhusu uongozi mpya na mbadiliko yanayofanywa.
   Akizungumza kwa hisia katika mkutano Mkuu wa FIFA wa 67 jijini Manama nchini Bahrain, Infatino amesema wale wanaosambaza taarifa za uongo ni wale wasiopenda mabadiliko yanaoendelea.
Infatino ambaye wakosoaji wake wanahoji uwezo wake wa kuleta mabadiliko ya kweli, amesema ufisadi hautashuhudiwa tena katika Shirikisho hilo.
Aidha, amesema kuwa uongozi wa sasa ni tofauti na uongozi uliopita ambao amesema unafanya kazi kwa uwazi.
Rais huyo pia amewataka viongozi wa soka kutoka maeneo mbalimbali duniani walio na nia ya kujitajirisha kupitia mchezo wa soka, waachane na mchezo wa soka.
Miaka ya hivi karibuni, FIFA ilikabiliwa na tuhma za ufisaidi na kusababisha aliyekuwa rais wa zamani Sepp Blatter kujiuzulu kwa madai ya matumizi mabaya ya fedha ya Shirikisho hilo.
Wakati uo huo, mkutano huo umeidhinisha kufungukiwa kwa Guatemala na Kuwait kwa sababu mbambali.
Guatemala imefungiwa kwa sababu za ufisadi huku Kuwait ikipewa adhabu kwa sababu serikali nchini humo iliingilia maswala ya usimamizi wa soka nchini humo.

Wednesday, 10 May 2017

Serikali kufidia bilioni kwa wakazi wa Kipunguni -Mhe.Ngonyani


Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi,na Mawasiliano imesema imetenga Shilingi bilioni thelathini(30) katika mwaka wa fedha 2017/2018 ili kukamilisha malipo ya fidia kwa wananchi wa Kipunguni wanaopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege.


Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi,na Mawasiliano imetenga Shilingi bilioni thelathini(30) katika mwaka wa fedha 2017/2018 ili kukamilisha malipo ya fidia kwa wananchi wa Kipunguni wanaopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege.

Amezungumza hayo, jana na Naibu Waziri wa Ujenzi,uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani Bungeni Mjini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Segerea Mhe.Bonnah Kaluwa.

“Ni kweli Serikali ilifanya uthamini wa mali za wananchi ili kupisha upanuzi wa kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Dar es Salaam mwishoni wa miaka ya 90 ambapo maeneo yaliyoainishwa kwa ajili ya upanuzi huo ni Kipawa,Kigilagila na Kipunguni,”alisema Mhe.Ngonyani

Ameongeza kuwa kutokana na gharama za fidia na uhaba wa fedha,Serikali imekuwa ikilipa fidia kwa wakazi hao kwa awamu.

Ambapo Mwaka 2009/10 wakazi wapatao 1500 wa eneo la Kipawa walilipwa fidia zinazofikia shilingi bilioni 18 ambapo zoezi hilo lilikamilika Januari 2010.

Katika mwaka wa Fedha 2010/2011 Serikali ililipa Shilingi Bilioni 12 za fidia kwa wakazi 864 wa Kigilagila na Malipo yalikamilika Januari 2011.

Katika mwaka 2013/14 Serikali ililipa Shilingi Bilioni 1.2 ikiwa ni fidia kwa wakazi 59 kati ya wakazi 801 kwa eneo la Kipunguni.

Aidha katika malipo hayo ni wakazi 742 wa Kipunguni ndio ambao hawajalipwa fidia zao zenye thamani ya takribani 19. “Mwaka wa Fedha 2016/17 Serikali imetenga Shilingi Bilioni tano kwa ajili ya kulipa fidia kwa wakazi hao wa Kipunguni”Alisisitiza Mhe.Ngonyani.

Thursday, 20 April 2017

MARCUS RASHFORD SENT MANCHESTER UNITED INTO SEMI-FINAL

Related image
Marcus Rashford's extra-time goal sent Manchester United into the Europa League semi-final at the expense of Anderlecht on a night of tension at Old Trafford.
The Europa League has acquired huge significance for United and manager Jose Mourinho as it offers a potential route into the Champions League, away from the battle for top-four places in the Premier League - making this victory crucial.
United took the lead on the night and in the tie when Henrikh Mkhitaryan drilled in a low finish in the 10th minute but Anderlecht restored parity when Sofiane Hanni scrambled home an equaliser after 32 minutes.
Mourinho's side were their own worst enemies with a shocking display of finishing as they missed chance after chance, their cause also undermined by injuries to defender Marcos Rojo in the first half and a serious-looking knee injury to top scorer Zlatan Ibrahimovic at the end of normal time.
United were facing the prospect of a penalty shootout but Rashford, a scorer against Chelsea at the weekend, made the decisive contribution after 107 minutes with a brilliant turn and finish from Marouane Fellaini's knockdown.

Do Man Utd still lack killer touch?

Manchester United flirted with an exit from the Europa League here - and if they had gone out they would only have had themselves to blame.
As on so many occasions this season, United created multiple chances only to waste the opportunities and leave themselves hostages to fortune and the threatening counter-attacks of Anderlecht.
Rashford, Ibrahimovic and Paul Pogba were all guilty of a succession of bad misses as the flaw that has undermined United all season reared its ugly head once more and kept Anderlecht in contention right until the final whistle in extra time.
On this occasion, at least, United rescued themselves with Rashford's goal but Mourinho will know his side must discover the killer touch from somewhere if they are to secure the Champions League place that must be the minimum requirement from this season.

Expensive night in victory?

United can celebrate another step towards winning the Europa League and the Champions League place that comes with it - but this may yet prove to be expensive night for Mourinho as the season reaches its climax.
The biggest concern will surround Ibrahimovic, whose knee looked to give way as he challenged for a high ball in the final moments of normal time. He managed to get to his feet and wave away the waiting stretcher but was helped off as he limped down the tunnel at the Stretford End.
Ibrahimovic had actually had a nightmare before his injury but his influence this season has been huge and United will anxiously await the medical update.
Rashford has delivered against Chelsea and here against Anderlecht, offering the pace and movement which the 35-year-old Swede cannot, but the loss of Ibrahimovic would still be a setback of major significance after his 28 goals this season.
And there will be almost equal concern about the injury to Rojo that saw the central defender taken off on a stretcher in the first half. He had received lengthy treatment previously before collapsing in a second challenge. United are already without injured central defenders Phil Jones and Chris Smalling, so they can ill-afford to lose Rojo.
This was a vital victory for Manchester United - but it may yet be victory at a heavy price.

Mourinho still on course

When Mourinho was appointed United manager, it was with the express intention of bringing more trophies to Old Trafford - but also putting the club back in the Champions League.
Mourinho may be taking the scenic route and learning to love a competition he derided for so long, but with the fight for the top four in the Premier League so tight and with United facing tough trips to Manchester City and Arsenal in the run-in, the Europa League provides a welcome safety net.
The poor relation of European football's competitions has suddenly acquired crucial status at Old Trafford, as the celebrations at the conclusion of extra time proved.

Man of the match - Marcus Rashford

Image result for man u in europe 2016/17 with anderlecht yesterday
Mkhitaryan among the goals again. The stats
  • Jose Mourinho has won his past nine European home games as manager, including all six with Man Utd this season.
  • Man Utd are unbeaten in their past 26 games in all competitions at Old Trafford (W17 D9); their longest unbeaten run since October 2011 (37 games).
  • Anderlecht have never won in 18 previous away games against English sides (D2 L16), conceding in every contest.
  • Henrikh Mkhitaryan has scored in five of his past six Europa League games.
  • Mkhitaryan has scored in three successive appearances (all comps) for Man Utd for the second time this season.
  • Only Genk (25) and Roma (24) have scored more goals in the Europa League this season than Anderlecht (23).

What next?

Manchester United switch their focus back to the Premier League as they travel to Burnley on Sunday (14:15 BST) before travelling to Manchester City on 27 April (20:00).
Home TeamMan UtdAway TeamAnderlecht
Possession
Home60%
Away40%
Shots
Home22
Away18
Shots on Target
Home10
Away6
Corners
Home12
Away6
Fouls
Home15
Away11

Monday, 17 April 2017

JOHN TERRY TO LEAVE CHELSEA AT THE END OF SEASON

Image result for john terry
Chelsea captain John Terry will leave the club at the end of the season after more than two decades there.He is their most decorated individual, with four Premier League titles, one Champions League, five FA Cups, a Europa League and three League Cups.
He has made 713 Chelsea appearances since his 1998 debut - 578 as captain.
"I feel I still have plenty to offer on the pitch but understand that opportunities here at Chelsea will be limited for me," Terry, 36, said.
Centre-back Terry, who has scored 66 goals for the club he joined as a 14-year-old, has made just four Premier League starts this season.
He is the club's third highest all-time appearance maker, behind Ron Harris and Peter Bonetti, and holds the club record for appearances as captain.
"I will, of course, always be a Blue and am desperate to end my final season as a Chelsea player with more silverware," said Terry, whose team have a four-point lead at the top of the Premier League table.
"I've always been conscious that I depart at the right time, in the right way, and I feel that the end of this season is the right time for the club and I."
Terry, the club and Premier League's top-scoring defender, is one of just five defenders to have won the PFA Player of the Year award.
He retired from international football in 2012 after winning 78 England caps and signed a one-year contract extension with the Blues in May 2016.
"I'm eager to carry on playing and so will be looking to continue with a new challenge," Terry added.
"Words cannot describe the love I have for our football club and our amazing Chelsea fans. You mean the world to me and I will never forget the incredible journey we've been on."

Doctoral Scholarship in Materials Science at University of Antwerp in Belgium, 2017




The University of Antwerp at Faculty of Science is inviting applications for a full-time doctoral scholarship. Successful applicants will work on the doctoral thesis in the field of “Creating structural and physico-chemical control to enhance properties of hybrid periodic mesoporous metal phophonates”.

The University of Antwerp is a young, dynamic and forward-thinking university. It integrates the assets of its historical roots with its ambition to contribute positively to society. The University of Antwerp develops, provides access to and disseminates scientific knowledge through research, teaching and academic service to the community and accomplishes these tasks in a spirit of academic freedom and responsibility.

Degree Level: Scholarship is available to pursue Doctoral programme.

Available Subject: Scholarship is awarded in the area of Material Science.

Scholarship Benefits: Scholarship offers:
A doctoral scholarship for a period of 1 year, renewable for three times 1 year after a positive evaluation, with a maximum of in total 4 funded years of doctoral scholarship >;
The start date of the scholarship 01/10/2017;
A gross monthly grant ranging from € 2.280,27 – € 2.419,84;
A dynamic and stimulating work environment.

Number of Scholarships: Not Known


Eligibility: The following criteria must be met in order for applicants to be eligible for the scholarship:

Profile and requirements
Students hold a master degree in Chemistry, Material Chemistry, Bioengineering or related fields with a strong background in inorganic material synthesis and analysis.
You can submit outstanding academic results.
Students in the final year of their degree can also apply.
Your academic qualities comply with the requirements stipulated in the university’s policy.
You are quality-oriented, conscientious, creative and cooperative.
The emphases in your teaching correspond to the educational vision of the university.
You are a team player, willing to collaborate with other partners involved in this project.
Experience in materials synthesis and characterization is encouraged.

Eligible Nationalities: International students are eligible to apply for this scholarship programme.



Application Procedure: Applying criteria below:
Applications may only be submitted online and should include a copy of your CV and a cover letter, until the closing date 19/06/2017.
A pre-selection will be made from amongst the submitted applications.
After pre-selection, the top 6 candidates will be invited for an interview (in person or via skype).
More information about the application form can be obtained fromvacatures-at-uantwerpen.be
For questions about the profile and the description of duties, please contact Prof.Vera Meynen, meynen-at-uantwerpen.be.

Deadline: Scholarship application deadline is June 19, 2017.

Scholarship Link