KLABU YA SIMBA YAJIHARIBIA KWA MO | maendeleo media
BREAKING NEWS
Loading...

Sunday 14 May 2017

KLABU YA SIMBA YAJIHARIBIA KWA MO


Mfanyabiashara mkubwa nchini, Mohammed Dewji ambaye alikuwa na mpango wa kutaka kuinunua klabu ya Simba pia kuisaidia klabu hiyo katika mambo mbalimbali ameonyesha kusikitishwa na viongozi wa klabu hiyo kusaini mkataba bila kumshirikisha.


Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka mitano na kampuni SportPesa ya udhamini wenye thamani ya 4.9 Bilioni


"Inasikitisha kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umesaini mkataba wa udhamini wa muda mrefu bila kunishirikisha. Kwa muda mrefu nimeweka nguvu zangu kwenye klabu" alisema Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Twitter

google+

linkedin