VIDEO:Tazama wanajeshi 200 wa urusi walivyowadhibiti NATO 1999 , BOSNIA | maendeleo media
BREAKING NEWS
Loading...

Wednesday, 9 August 2017

VIDEO:Tazama wanajeshi 200 wa urusi walivyowadhibiti NATO 1999 , BOSNIA



hii ni dondoo tuu
vasily richard:

Hii ni vita ya mataifa yaliyounda nchi moja yugoslavia nchi hizo ni bosnia-herzogevina , serbia na croatia haya mataifa yaliungana mara baada ya kuisha kwa vita ya pili ya dunia na kua nchi moja ikiongozwa kwa mifumo ya kijamaa.

CHANZO CHA MGOGORO
Kutokana na kuvunjika kwa umoja wa kisoviet kuanzi miaka ya 1989 hadi 1991 ilifanya hadi yale mataifa yaliyokua yakitegemea misaad toka soviet nayo yavunjike kama umoja wa yugoslavia kuanzia mwaka 1990 nchi nyingi kutoka umoja huo zilikua zimejitangazia uhuru kama serbia na croatia na BOSNIA ndiyo ikawa imebaki lakini ilipotaka kujitangazia uhuru 1992 vita ilianza na kuisha mwaka 1995.

LAKINI
kabla ya vita serbia na croatia walikua wamepanga wajigawashie bosnia nusu-nusu hivyo kila nchi iliunda vikosi ambavyo vilisaidiwa na vikosi vilivokua chini ya umoja wa yugoslavia, vikosi vya croatia waliiviiita bosnia-croat na serbia viliitwa bosnia-serb.na vita rasmi ikaanza 1992 ambapo watu zaidi ya laki moja waliiuwa wengi wao ni jamii ya waislam waliokua wakiishi bosnia ,mwaka 1994 NATO waliingia kuweka suluhu lakini ilishndikana hadi 1995 makubaliano yalipofanyika geneva.

mwaka 1999 NATO walianza kufanya mashambulizi ya anga yugoslavia ndio kisa kilichopelekea urusi kuingilia kijeshi huku.

hawa ni wanajeshi wa urusi mwaka 1995 ,bosnia



google+

linkedin