GARI,NDEGE,NA PIKIPIKI ZILIZOENDESHWA KWA MAJI | maendeleo media
BREAKING NEWS
Loading...

Friday 16 June 2017

GARI,NDEGE,NA PIKIPIKI ZILIZOENDESHWA KWA MAJI

Image result for water powered car


Kila siku dunia inakuja na mapinduzi makubwa katika teknolojia kwa mfano ugunduzi wa simu za mezani ulipotoka hadi sasa tuna simu za mkononi n.k,pia ugunduzi wa magari,tv na vingenevyo ambayo vimebadili muonekano wa dunia na watu wake,leo nakuandalia watu au wanasayansi watatu waliotengeneza vitu kupitia teknolojia yao na walioigundua na vikaendeshwa kwa nguvu ya maji

STANELY ALLEN MEYER
Image result for stanley meyer
HUYU NDIO STANELY ALIYETENGENEZA GARI  LILOTUMIA MAJI

Amezaliwa tarehe 24 mwezi wa nane mwaka 1940 na kufariki mwaka 1998/20/4 kwa kifo cha utata ,ni mmarekani .Huyu aligundua gari linalotumia maji kama ndo nguvu inayofanya litembee,gari hili lilipatikana OHIO mwaka 1996.kwa bahati alipofanya ugunduzi huu hakuna mtu alikaa na kumpaa ujasirikwa ugunduzi aliofanya,majarida ya ohio na ohio tv ndiozilizotoa habari zake.


“I don’t care if you use rainwater, well water, city water, ocean water. If you don’t have any fresh water then go ahead and use snow, if you don’t have any snow available to you then use salt-water because there is no adverse effect to the fuel cell.”

RICARDO AZEVEDO


Image result for ricardo azevedo
HUYU NDIO MGUNDUZI WA PIKIPIKI YA KUTUMIA MAJI
Amezaliwa mwaka 1956/24/8 brazil Rio de janeiro,alisoma chuo cha califonia state university 1980.huyu aligundua pikipiki inayotumia maji ndani ya sao paul na aliita kama T POWER H20 pia uundaji wake alitumia maji na betri kwa ajili ya kuzalisha nguvu ya kufanya pikipiki itembee[umeme].ruptly tv ndio walioandika habari hizi ni honda aina ya NX 200 Mwaka 1993 ndio alifanya ugunduzi huu.




WANASAYANSI WA MAREKAN [US.NAVAL RESEARCH LABORATORY]
Image result for us naval research lab jet fuel from seawater
Ndege inayofanyiwa majaribio kw ajili ya matumizi ya jeshi



kilianzishwa mwaka 1923 kina raia 2538 na wanajeshi 86 kwa 2015.Lengo la hii maabara ni kusaidia vikosi vya jeshi la marekani linaalofanya kazi majini na nchi kavu[marine corps].Hiki kitengo kiligundua ndege ambayo inaendeshwa kwa kutumia maji wakati wa vita ya pili ya dunia.

“In close collaboration with the Office of Naval Research P38 Naval Reserve program, NRL has developed a game changing technology for extracting, simultaneously, CO2 and H2 from seawater. This is the first time technology of this nature has been demonstrated with the potential for transition, from the laboratory, to full-scale commercial implementation.”

imeandaliwa na
vasily richard
share kwa rafiki

google+

linkedin