BREAKING NEWS : Polisi yatawanya maandamano ya Walemavu kwa kutumia mabomu ya machozi | maendeleo media
BREAKING NEWS
Loading...

Friday 16 June 2017

BREAKING NEWS : Polisi yatawanya maandamano ya Walemavu kwa kutumia mabomu ya machozi



DAR ES SALAAM: Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya walemavu waliofunga barabara wakipinga kuzuiwa kuingia katikati ya mji na baiskeli.

Taarifa za awali zinasema kuwa Jeshi la Polisi linawashikilia walemavu kadhaa kuhusiana na tukio hilo ambalo limefanyika leo maeneo ya Posta jijini Dar.

Taarifa zaidi tutawaletea.

google+

linkedin