JINSI YA KUTAMBUA TAASISI,MTU AU SERIKALI INAVYOIPELELEZA SIMU YAKO. | maendeleo media
BREAKING NEWS
Loading...

Wednesday 25 October 2017

JINSI YA KUTAMBUA TAASISI,MTU AU SERIKALI INAVYOIPELELEZA SIMU YAKO.

Kwa sasa dunia imejaa na  ulimwengu wa  teknolojia ya Hali ya Juu hivyo Leo. MAENDELEOMEDIA. BLOGSPOT. COM 

NAKULETEA NJIA AMBAYO HUTUMIWA NA TAASISI AU WATU WATAALAMU WA KUCHEZA NA COMPUTER TUMEZOEA KUWAITA MAHACKERS LEO UTAWAJUA HAO WANAOFATILIA SIMU YAKO. 


CHA MSINGI FATA HATUA NAZOKUELEKEZA.

(unapofanya Kitendo hiki hakikisha umezima  wi-fi yako Tumia data Halisia au Tumia bando tuu) 

1.INGIA KWENYE SIMU YAKO KATIKA SETTINGS  (ANGALIA SEARCH  ILIPO ANDIKA NENO STATUS AU ABOUT DEVICE BAADA YA KUANDIKA HILO NENO TAFUTA NENO LIMEANDIKWA IP ADDRESS ZIKOP NAMBA ZA IP ADDRESS 


  2.BAADA YA KUKOP NAMBA ZA IP ADRESS HATUA YA PILI NI KUINGIA KWENYE MTANDAO YANI KUPITIA BROWSER  AU OPERA MIN KISHA ANDIKA WHO.IS HAKIKISHA UNAWEKA NUKTA KATIKATI YA MANENO AYO KISHA IKIKULETEA INGIA SEHEMU WAMEANDIKA SEARCH ZIANDIKE NAMBA ZA IP ADDRESS  ZOTE KAMA ULIVYOZICHUKUA BONYEZA NENO SEARCH ITAKULETEA TAARIFA ZOTE JUU YA NANI ANAYEPEKUA SIMU YAKO

Pia unaweza kubinya kitufe cha diagonastic Kama kilivyoandikwa apo juu Kujua zaidi Nani adui yako  .
Kwa tahadhari unashauriwa utumie wi-fi na VPN ambazo hutoa ulinzi Bora Kwenye Simu na laptop. 

IMELETWA NA:
FIELD MARSHAL VASILY RICHARD

google+

linkedin