KAFULILA KWENDA MAREKANI | maendeleo media
BREAKING NEWS
Loading...

Saturday 29 July 2017

KAFULILA KWENDA MAREKANI




Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusi David Kafuli amepewa Tuzo ya Heshima Mpiga Filimbi katika vita vya Ufisadi.

Tuzo hiyo amepewa baada ya kuibua hoja zilifichua Ufisadi na Mafisadi waliokula pesa na kubadhilisha Maslahi ya Umma.

Ujasiri wa Kafulila kuibua masuala hayo ndio ulimuibua kwenye Tuzo hiyo aliyopewa na Watetezi wa Haki za Binaadamu .

google+

linkedin