TAZAMA VIDEO:Putin jana agoma kufunikwa mwavuli wakati wa maadhimisho ya kuwakumbuka wanajeshi wao | maendeleo media
BREAKING NEWS
Loading...

Thursday 22 June 2017

TAZAMA VIDEO:Putin jana agoma kufunikwa mwavuli wakati wa maadhimisho ya kuwakumbuka wanajeshi wao

Jana  nchini urusi yalifanyika maadhimisho ya kuwaenzi wanajeshi waliokufa katika vita ya pili ya dunia katika kaburi linaloitwa"wanajeshi wasiojulikana"unknown soldir.
kaburi hili awali walikua wamezikwa wote katika jiji la leninigrad ,hawa wanajeshi walikufa wakati wakipigana na wajerumani langoni mwa moscow mwaka 1941 lakini mwaka 1966 soviet union[umoja wa kisoviet] waliamua kaburi hili kulisogeza moscow  kwenye ukuta wa kremlini ili kuwapa heshima wanajeshi hawa ambao waliwashinda ujeruman katika mapambano.
huo ni muhutasari kuhusu kaburi la wanajeshi wasiojulikana.
HUYU NDIO MFALME WA NATO NA MAREKANI
HESHIMA KWAKE
AJE NA TANZANIA ONE DAY






google+

linkedin