BREAKING:Ajali ,magari mawili yagongana iringa | maendeleo media
BREAKING NEWS
Loading...

Thursday 22 June 2017

BREAKING:Ajali ,magari mawili yagongana iringa



Kumetokea ajali jioni ya leo maeneo ya ngome kihesa mkoani iringa ajali iliyohusisha gari aina ya dala dala na gari ndogo, ajali hiyo imetokea wakati mwanamke mmoja ambaye hajafahamika jina lake akiwa anajifunza kuendesha gari katika uwanja wa michezo wa shule ya msingi ngome.












na kujisahau na kujikuta akipaa uwanja mpaka sehemu ya pili na kugonga gari dogo pamoja na vibanda vilivyopo jirani,katika ajali hiyo mama huyo amejeruhiwa na kukimbizwa hospitali.











polisi wamefika eneo la tukio na kufanya jitihada za kuondoa magari hayo.









google+

linkedin