VITA BARIDI UPANDE WASILAHA ZA NYUKLIA | maendeleo media
BREAKING NEWS
Loading...

Thursday 11 May 2017

VITA BARIDI UPANDE WASILAHA ZA NYUKLIA


Urusi ilifanya jaribio lake la kwanza la nyuklia mwaka 1949 na kufanya kua taifa la pili kufanikiwa kumiliki silaha hizo hatari za maangamizi.

marekani ilifanya jaribio hili mwaka 1945 na kua taifa la kwanza kumiliki silaha hizi

Vita baridi ilihusisha kutengeneza silaha nzito ambazo zilikua na uwezo mara dufu na  bom lilitumiwa na marekani japan 

fuatilia zaidi

google+

linkedin