Breaking Newz: Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Prof. Muhongo | maendeleo media
BREAKING NEWS
Loading...

Wednesday 24 May 2017

Breaking Newz: Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Prof. Muhongo

Image result for magufuli


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo kuanzia leo tarehe 24 Mei, 2017.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadaye.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

google+

linkedin